USIKU WA KOFFI OLOMIDE NDANI YA LEADERS CLUB

0

KOFFI OLOMIDE KNOW HOW TO BRING IT DOWN!!!
Mashabiki wa mwanamziki Kofii Olomide wakishangilia kwa furaha wakati mwanamuziki Kofii Olomide akiimba jukwaani. 
 
 Kofii Olomide akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Steve Gannon wa pili kutoka kushoto na Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru pamoja na wafanyakazi wengine.
koffi Olomide akionyesha vitu vyake kwenye stage baada ya kuwasili ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. 
   Wanenguaji wa mwanamuziki Kofii Olomide wakimwaga mauno jukwaani usiku wa kuamkia leo.
 Hapo Mkurugenzi wa Cloud media group Bw.Joseph Kusaga akiongea machache jana baada ya Koffi Olomide kutoa burudani ya uhakika kwa mashabiki wa muziki wa dance.
      Mashabiki wa muziki wa dance wakionyesha mambo yao baada ya Koffi Olomide kupanda jukwaani.


Team Cloud Media
  Koffi Olomide akifanya vitu vyake katika jukwaani.
Mwimbaji wa Koffi Olomide maarufu kama Cindy akiimba kwa hisia baada ya Koffi Olomide kumtambulisha kwa mashabiki wa Dance.


FOLLOW @MELODYLY ON TWITTER!!

0 comments: