RAIS BARACK OBAMA AMALIZA ZIARA YAKE,AREJEA NCHINI MAREKANI LEO MCHANA..

0

 Rais Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu,baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili iliyoanza jana.Rais Obama na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete,leo walitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi huo. 
 Picha hizi zimepigwa wakati Rais Obama na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete,leo walipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi huo. Picha hizi kwa hisani ya mdau 2jiachie.

0 comments: