KAMATI YA MISS TANZANIA USA YAKUTANA NA BALOZI MULA MULA

0


photoKamati ya maandalizi ya Miss Tanzania USA wakiwa na balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Mh.Liberata Mula Mula na afisa ubalozi Mindy walipokutana hivi karibuni ofisini kwa balozi Washington Dc.
photoMama balozi Mula Mula akiwa na mwanakamati Nyasso.
photoKushoto ni mwanakamati Nyaso na Omby wakiwa na afisa ubalozi Mindy.
photoAfisa ubalozi Mindy kushoto akiwa na Omby.
photoMama balozi Mula Mula akiwa na wanakamati Omby na Nyaso.
photoMuandaaji wa Miss Tanzania USA Ma Winny akiwa na mmoja wa wanakamati Omby.

Habari kwa hisani ya SUNDAY SHOMARI BLOG. 

0 comments: