HAPPPY BIRTHDAY TO THE SUPER WOMAN OUR MOTHER.

0
When I think of my mom I think of mama Salira, a beautiful mama with a kind heart, a mother of all, a super woman.

Happy birthday mama, Mungu akuzidishie maisha marefu yenye baraka tele.



Wanao Wote walioko huku Marekani, Uingereza na Tanzania wanakupenda sana na wanakutakia kheri ya kuzaliwa. Mungu akulinde mama yetu, mpaka uje uone watoto wa kina MICHELLE, MEGAN MAYNARD, COLLINS, CHANTAL, GUINOC, GARETH, CALLUM, TARA, MILO- DAVIS,DEBRA, DAMIAN na NADIA
HAPPY BIRTHDAY MAMA

#TLKSHOW 

0 comments: