WEEKEND NJEMA

0
Wapendwa wangu wote mnaotembelea blog hii nawatakieni WEEKEND NJEMA, pia napenda kuwa sihi muwe makani katika pita pita mitaa mkiwa mna-drive maana mimi leo nimepata TICKET, yaani polisi kaniote haswaa, kwahiyo tafadhalini naomba kuweni makini na kwa wale wanaopenda kupata kinywaji halafu bado wanataka kuendesha magari nawaomba mtafute madereva wakuwaendesha maana ukiacha kuotewa na polisi kuna maajali. So please my people be careful out there, drink responsibly.
Enjoy your weekend.
Yours truly
 Melody.

0 comments: