HONGERA HAPPINESS MLEWA!!!

0
Hayawi hayawi yamekuwa.. Dada Happiness Mlewa kapata mwenza.
Mungu akutangulie na kukuongoza katika safari ya maisha yako mpya, Roho Mtakatifu awe Mwalimu wako wewe na mume wako mtarajiwa daima katika ndoa  yenu, na meza yenu ya chakula izungukwe na baraka za watoto kutoka kwa Mungu. Amina!!!!!
     Kapendeza sana na msimamizi wake
     Baraka na Neema za Mungu
    Hongera sana Happiness 
     How about that cake!

0 comments: