Beyonce Knowles Anangwa Kwa Kuwa Na Uwazi Mkubwa Katikati Ya Mapaja

0

Angalia hiyo picha hapo chini ya Beyoncé, eti anasemwa kwakuwa na uwazi mkubwa katikati ya mapaja yake.
Sasa mtu akiwa mnene anasemwa , mtu akijipunguza pia anasemwa. Walimwengu wanataka nini jamaniiiiii

Nyie mnaona kuna tatizo hapo?

Na kama beyonce kaamua kujipunguza kwa madhumuni yake mwenyewe kwanini iwe tatizo kwa wengine!!!!

Mi sioni tatizo hapo at all.

Toa maoni yako.
Mwenyewe yuko busy na mwanae wanafanya yao na nyie walimwengu fanyeni yenu.

0 comments: