HAPPY ANNIVERSARY TO MR & MRS MISANGO

0
Mungu alipo muumba mwanaume akaona kuwa Yuko mpweke sana.. Akaamua kumletea mwanaume msaidizi wake kwa kumnyofoa mbavu yake moja ubavuni mwake.. Akamletea mwenzi wake.. Na wao wakaungana na kuwa Mwili mmoja. 

Kama ninyi mlivyo Mwili mmoja, hakuna atakaye watengenisha. Mungu walindie ndoa yenu daima.

HAPPY ANNIVASARY TO YOU Mr&Mrs Charles Misango

0 comments: