The Royal Wedding Couple

0

Harusi ambayo haijawahi kutokea in Houston is about to go down. 

Harusi ya kifahari ya Mr. Frank Mutafungwa na Miss Anitha Mwemezi wa Houston Texas, ni kwa waalikwa tu na hakuna aliyechangishwa.

Bila kusahau Mwanamuziki mashuhuru Lady Jaydee toka Tanzania atatumbuiza hiyo siku ya harusi. Asiye na mwana aelekee jiwe..

Check it out the pictures below. .

0 comments: