THE LILLY MELODY SHOW

0


Don't miss The End Of The Year Special Show From THE LILLY MELODY SHOW December 31st 2013 On Radimbao.com, Houston Time 11am CT,  Columbus Time 12 pm EST, KWA TANZANIA NI SAA MOJA USIKU. Don't Miss It!!! 

BUTT JOB GONE BAD!!!!

0
This is just for y'all who are injecting your makalio, please think twice before you do a butt job.. Angalia hiyo picha Hapo chini, I'm not saying that you shouldn't it, go ahead and do it, but it's no guarantee kuwa it will work for you! 
Don't cry later. 


BUTT JOB GONE VERY BAAAD!! 

MWANAUME AKUZA MAKALIO YAKE KUPATA MVUTO ZAIDI [PICHA].

0
Kwahisani ya Jestina Blog!! 

Huyu Jamaa kweli anataka kuwa mwanamke, tatizo ni kwamba dingling is still hanging hahahaha..
 Hahahaha huo ujumbe hapo unajitoshelezaaaa
 Kazi ipo
 Majanga ya Snura
 Mambo ya #selfie yanahusu
E bwana ndiyo kazi kwako
Habari ndo hiyo kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firahauni. 

Kwa hisani ya Jestina Blog! 



Happy Birthday To Albino Fulani.

0
#TLMSHOW wishing you a Very Happy Birthday. Enjoy your day.


#TLMSHOW 

HAPPPY BIRTHDAY TO THE SUPER WOMAN OUR MOTHER.

0
When I think of my mom I think of mama Salira, a beautiful mama with a kind heart, a mother of all, a super woman.

Happy birthday mama, Mungu akuzidishie maisha marefu yenye baraka tele.



Wanao Wote walioko huku Marekani, Uingereza na Tanzania wanakupenda sana na wanakutakia kheri ya kuzaliwa. Mungu akulinde mama yetu, mpaka uje uone watoto wa kina MICHELLE, MEGAN MAYNARD, COLLINS, CHANTAL, GUINOC, GARETH, CALLUM, TARA, MILO- DAVIS,DEBRA, DAMIAN na NADIA
HAPPY BIRTHDAY MAMA. 

#TLKSHOW 

MASAI'S OWN!!

0
Mmasai, moderator!! Be proud of  who you are!! 

Family!!

0





P SQUARE WAMUUMBUA DIAMOND PLATNAM..!! HAYA NDIYO WALIYOSEMA..!!

0

Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.

Awali kupitia blogs mbali mbali kulisambaa taarifa kuwa dimond alikua mwanamuziki pekee afrika mashariki aliyealikwa katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na tajiri nambari moja afrika, Aliko Dangote.
Picha ya diamond akikata viuno katika harusi hiyo
Blogs hizo zilikwenda mbali kwa kumpamba diamond kwa vyeo vya ajabu ajabu ikiwemo Michael Jackson wa afrika mashariki jambo ambalo lilisababisha wengi kumponda.

Akihojiwa na kituo cha EATV mara baada ya kuwasili jijini Dar kwa ajili ya shoo iliyopigwa viwanja vya leaders club, Okoye alishangazwa na taarifa za dimond kuhudhuria katika harusi yake.


Okoye alikua akijibu swali aliloulizwaa na mtangazaji wa kipindi cha HotMix Adrian Hilary kuhusu diamond kuhudhuria harusi hiyo ambapo alionesha kushangazwa na jina hilo na kuhoji Diamond ni nani?

Kushangaa huko kulimaanisha licha Diamond kujichezesha mbele ya Okoye siku ya harusi yake lakini mwanamuziki huyo hakua akijua aliyekua akimzungushia viuno vya ngololo ni nani.

VIDEO MPYA YA SNURA WA MAJANGA.!

0

Nu V


               

NAOMBA NIKUJUZE KUHUSU HAYA MADHARA UTAYOYAPATA KWA KUTOFANYA TENDO LA NDOA KWA MDA MREFU! SOMA HAPA

0

Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.
Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).
Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

HABARI TOKA BONGO CLAN..!