EDDY KENZO AFANYA SHOW YA KUFA MTU KATIKA JIJI LA WAJANJA

0

Mwanamuziki kizazi kipya kuotoa Uganda, Eddy Kenzo akipagawisha jiji la wajanja Jumamosi Aug 10, 2013, Oakland, California na kuhudhuriwa na mashabiki kibao kutoka kila pembe ya jiji hilo na vitongoji vyake.
Juu na chini ni Mashabiki wakipagawika na mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Uganda Eddy Kenzo aliyepagawisha jiji la wajanja kwenye onesho la kufa mtu Jumamosi Aug 10, 2013.
Eddy Kenzo akimliza mdada nguo nyeupe pundamlia kwenye onesho la kufa mtu lililofanyika jiji la wajanja, Oakland, California Jumamosi Aug 10, 2013.
Mashabiki wakipata burudani ya kukata na shoka.
Juu na chini Eddy Kenzo toka Uganda akifanya mambo yake.
Mashabiki wakipata ukodak na video ya Eddy Kenzo.
Eddy Kenzo akiimba kwa hisia.
kwa picha zaidi bofya read more
Kwa hisani ya Vijimambo

0 comments: