TANGAZO TANGAZO TANGAZO

0

Unakaribishwa kuhudhuria siku ya mtanzania itakayofanyika tarehe 9 Desemba 2014 saa moja kamili usiku katika anuani ifuatayo: 5371 East 5th street Katy Texas 77493. Muimbaji Upendo Kilahiro kutoka Tanzania atakuwepo kuwasha moto Wa shangwe. Njoo tusherehekee pamoja siku ya Uhuru wetu na kuiombea nchi yetu.
Kwa taarifa zaidi piga simu 832 889 6482.

Tafadhari wape taarifa wengine.

0 comments: