Habari za Leo Wandugu!

0
USIACHE STRESS ZA MAISHA ZIKAKUFANYA UKASHINDWA KU-ENJOY MAISHA YAKO..

HEBU ANGALIA HIKI KICHEKESHO HAPO CHINI UCHEKE, MAANA KUCHEKA NI MOJA YA KUONDOA STRESS HALAFU KUNA PICHA YENYE MAELEZO YA JINSI YA KUONDOA AU KUPUNGUZA KWA KIASI KIKUBWA HIZO STRESS.

Mmasai na Kanisa...

Masai kaenda kanisani kaishia nje,
PASTOR akauliza ''Yero mbona huingii unakaa NJE?''
MASAI akajibu ''Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!!!!

Hahahahahaa...

0 comments: