Treni Imeua Dar es salaam

0







Muda mfupi auliopita treni imegongana na gari aina ya RAV4 na dereva (me)amekufa muda huu na abiria(ke) yu mahututi. ni vema kwa waendeshao magari wakawa makini wanapokatisha njia za reli. RIP marehemu 

0 comments: