EXCLUSIVE INTERVIEW!!!

0

EXCLUSIVE INTERVIEW!!! 



This Wednesday ON THE LILLY MELODY SHOW ntakuwa na Steve RnB mwanamuziki wa Bongo Fleva, tutakuwa tunaongelea mahusiano ya kimapenzi na jinsi ya kuyaboresha, na pia utamsikia akisema Yuko huku Marekani na anafanya nini na mipango yake ya kufanya tour huku huku marekani ni lini!! Yote hayo yatakujia kupitia RADIOMBAO.COM muda ni 12pm est na 11am CT na kwa Tanzania itakuwa saa moja usiku!  Pia ataongelea mahusiano yake ya kimapenzi... USIKOSE.

For more information pls visit 


0 comments: