Happy Birthday Godfrey Mahonge

0

Unapojaaliwa kuuona Mwaka mwingine wa maisha yako basi  huna budi kushiri na kufurahi na ndugu, jamaa na marafiki.

The Lilly Melody Show inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa. Mungu akubariki sana na akuzidishie miaka mingi sana yenye kheri na furaha hapa. duniani.😊😊😊😊

Enjoy your day.

0 comments: