BREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA LEO IN TANZANIA

0

clip_image001

Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania) amefariki dunia leo hii.Katika hospitali ya Mhimbili kwa kile kina chosadikika ni malaria.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.

Yaani Vifo Left and right!! 
Mungu atupe nguvu jamani!! 

Like us on Facebook 
The Lilly Melody Show!

On Twitter @MelodyLY 

On keek @TheLillyMelodyShow

On Instagram @iMelodyLY 

0 comments: