Diamond Platnumz Akiongelea Shutuma Za Yeye Kuiba Nyimbo.

0

Siku ya leo mchana ndani ya kipindi cha xxl cha Clouds,nilikuwa 
ninatambulisha rasmi,Audio ya wimbo wangu
 mpya wa Number 1. ambapo pia nilipata fursa ya
 kuzungumzia yale yote yaliyokuwa
 yakizungumzwa kuhusu mimi,kuanzia swala la madai ya
 Dayna na Baba levo pamoja na tuhuma za binti aliyedai ana mtoto wangu.so
 kwa wewe shabiki yangu ambaye hukupata nafasi ya
 kuniskiliza.sikiliza audio ya mahojiano yangu kupitia hapa hapa.
Kumbuka tu kuwa,usiamini chochote ambacho sijakitamka mimi rasmi. NA WATUWACHE TULALE.... 

0 comments: