Grown ups with saggy pants!!!

0

Hey guys,

Mambo vipi, mimi niko poa kabisa. Ila kuna kijambo kina nikera sana, watu wanao vaa milegezo wananichefua mnooooo!!!! Lol! I'm at the store minding my own business mara kaja mbaba mtu mzima kavaa bonge la mlegezo.

Yaani nimemuangalia  nika Smh!!!!

0 comments: