DIAMOND AKIWARUSHA WANA-DC
0
Diamond aka Platinum akiwapagawisha watanzania wapenzi wa music wake, Diamond aliimba nyimbo zake zote za zamani na mpya ambazo hata hazijaanza kusikilizwa katika radio stations za Tanzania hapa akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake ukumbini hapo.
Diamond kwa kushirikiana madancer wake walifanya show ya kuvutia sana na watu wote walifurahi na wangekuwa na uwezo wangetaka show hiyo kuendelea hadi asubuhi lakini wapi muda ukivyofika watu walijivuta kwa unyoge kwani waliona kama walikatizwa uhondo wakuendelea kupata burudani kutoka kwa Diamond na madancer wake.
Diamond akiimba kwa hisia na nyuma ni madancer wake
Watu wakifatilia kwa makini kabisa show ya Diamond ukumbuni hapo kama unavyoona
Kw apicha zaida za show ya Diamond bofya (read more)