WANAWAKE TUACHE KUCHUKIANA, TUPENDANE NA TUSAIDIANE!!!!!!!!
0
HABARI ZENU WAPENDWA,
MIMI NIMETAKA TU KUWASIHI WANAWAKE WENZANGU DUNIANI KOTE. KUWA TUACHE CHUKI BINAFSI, TUPENDANE, SUDAIDIANE NA TUINUANE, TUWE NA WIVU WA MAENDELEO NA TUJIENDELEZE, HAKUNA HAJA YA KUTUPIANA MANENO WALA KUCHUKIANA.
UKIMUONA MWANAMKE MWENZIO ANAMATATIZO MSAIDIE NA UKIMUONA ANAFURAHA BASI FURAHI NAE, HAKUNA HAJA YA KUPALILIA MAKAA YA MOTO, UKIONA MWEZIO KAPENDEZA MSIFIE, HAKUNA HAJA YA KUVUTA MIDOMO.
MUNGU KATUUMBA ILI TUIPENDEZESHE HII DUNIA NA SIO KUCHUKIANA NA KUPAKANA MATOPE, TABIA ZINA AMBUKIZA, TUWE MAKINI NA TUREKEBISHANE, WEWE KUWA MFANO BORA NA WENGINE WATAAMBUKIZWA.
TUSHAURIANE NA SIO KUSENGENYANA, SOTE TUNAMAPUNGUFU, TUREKEBISHANE KWA NIA NZURI NA SIO KWA KEJELI NA KUAIBISHANA. NIMEONA HILI TATIZO KATIKA SEHEMU MBALIMBALI HATA MAKAZINI, NA NI WANAWAKE WA MATAIFA YOTE, SIELEWI KWANINI TUKO HIVYO!!!!!
TUWE MIFANO BORA HASWA KWA VIZAZI VIJAVYO.
KAMA HUNA NENO LOLOTE ZURI LA KWAMBIA MWENZIO NI BORA USISEME KITU KABISA KUEPUSHA SHARI AU KUMKWAZA MWENZIO, IT'S NOT WHAT YOU SAY, IT IS HOW YOU SAY IT!!!!!
BE YOUR SISTER'S KEEPER.
WE ARE ALL ONE, WOTE TUKIKATWA TUNATOKWA NA DAMU YA RANGI MOJA AMBAYO NI NYEKUNDU.
PEACE AND LOVE TO YOU ALL MY SISTERS.
THIS IS FROM MY HEART TO YOU ALL.
MELODY!!!!!
NI MIMI MELODY NIKIONGELEA SUALA ZIMA LA CHUKI JUU YA WANAWAKE.