Huyu Ndio Polisi Mjinga Kuliko Wote Africa

0

Gazeti moja huko South Africa limeweza kumpiga Picha Askari huyu huku akiwa amekalia bomba la bunduki kama inavyonesha kwenye picha hapo bila kuogopa kama inaweza jilipua kwa bahati mbaya ...Gazeti hilo likaamua kumpa cheo cha Polisi Mjinga kuliko wote Africa....Can you do like That? Seriously!! Hahahahahaaaa

0 comments: