FIND OUT WHY DIAMOND LEFT HIS DANCERS IN AMERICA.

0























MUST BE NICE TO HAVE A BOSS LIKE DIAMOND, HE CAN TAKE YOU PLACES FOR VACATION AFTER WORK, HOW NICE, MANY PEOPLE WERE ASKING QUESTION!!!!
READ BELOW.. 

"Jibu ni hapana,nimeamua kuwaacha marekani kwa ajiri ya mapumziko ya muda mfupi.Ili waweze kurefresh akili na miili yao kwasababu kiukweli wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko hayo Nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa"hayo ndiyo maneno ya Diamond Platinum  wa wasafi baada ya kufunguka kuhusiana na ma Dancer wake

0 comments: