TIMU YA MPIRA WA MIGUU TZ HOUSTON YAWASHINDA WACONGO!!!

0
Pongezi kwa timu yetu ya watanzania Houston kwa kuwashinda wacongo wiki iliyopita kwa kuwafunga magoli 3 kwa 2, timu yetu imeshinda mechi zote tatu, michuano inaendelea tena jumapili ijayo. 

Kikosi kizima cha mpira wa miguu TZ Houston Texas

0 comments: