RICK ROSS IN TANZANIA!!!!!!

0
DA BOSS!!!!!!!!!!! HUH!!!!!
Rick ross akitoa saluti kwa mashabiki wake baada ya kuwasili katika kiwanja cha Airport jijini Dar es Salaam kwa kupiga show yake kali ya Serengeti Fiesta pale maeneo ya Leaders Club.
Rozay akiwa na Meneja wa prime Time promotion huyu si mwingine anajulikana kwa jina laBalozi kindamba hapo walikuwa wakielekea katika gari ambalo atapanda mtu mzima Rick rossmpaka katika Hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko.
Hapo wakazi wa Dar es Salaam wakimuangalia mtu mzima Rick ross baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Airport.

Hapo mtu mzima Rozay akiwa na Dj wake katika gari wakipelekwa katika ya Hotelinayofahamika kwa jina la kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko.
Hapo Rick ross akiwa katika  msafara wa magari akipelekwa katika Hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko.
Rozay akiwa amewasili katika hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko na watu wake aliokuja nao kutoka pande za state wakiwa wanatoa mizigo katika gari.
Muonekano wa The boss baada ya kuwasili  katika hotel ya kilimanjaro kwa ajili ya mapumziko
Hapa Rick ross akiwa ndani ya lift akielekea juu kwa ajili ya mapumziko baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam usiku huu.
             Hii ndiyo hotel ambayo mtu mzima The boss ndiyo dzain amepumzika hapo kwa jili ya show yake ya Serengeti Fiesta ddaaaaaaaaaaaahh!!!!!!! bhhaaaaasss!!!! kwelli muonekano mpya,burudani ile ile

0 comments: