UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA DULLY FT OMMY DIMPOZ,DIAMOND "UTAMU"

0

Msanii wa bongo Fleva almaarufu kwa jina la Dully Sykes anayetamba na ngoma kali huho bongo Tanzania na kupelekea mpaka mashabiki kumkubali katika tasnia ya muziki huko Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kufanya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Utamundani ya Bongo Record sasa siku ya jana alikuwa akiifanya shooting chini ya Director Adamu Juma Next level ebu check out hapo jinsi walivyotupia swagg.






















follow @MelodyLY on twitter

0 comments: