DIAMOND ATAKIA WEMA SEPETU HAPPY BIRTHDAY!!!

0

NI VIZURI KUKUMBUKA FADHILA, MWANAMUZIKI  DIAMOND AKUMBUKA FADHILA ZOTE AMBAZO MPENZI WAKE WA ZAMANI WEMA SEPETU ALIZOMFANYIA, SOMA HAPO CHINI!!!!!!!!!!!!!! 

NI WANGAPI WANA KUMBUKA FADHILA NA KUZISEMA? WENGI WETU HATUKUMBUKI!!! NA ESPECIALLY KAMA MLISHAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI HALAFU YAKAVUNJIKA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE KUNAKUWA NA CHUKI AMBAZO HAZINA MAANA, I SALUTE YOU DIAMOND KWA KUKUMBUKA FADHILA ZA X WAKO. 
MFANO  WA KUIGA. 

Tunafahamu kwamba mwana dada sepetu leo ni siku yake ya kuzaliwa sasa bhana mtu mzima Diamond wa wasafi amefunguka katika website yake  kama ifuatavyo""Happy Birthday Sepetu wa Sepetunga"....coz kiukweli ni mtu ambae kwa namna moja au nyingine anamchango mkubwa sana katika Mafanikio yangu hadi kufikia hapa nilipo, Sikuzote amekua akinipa Moyo, Motisha,Nguvu na kunisupport kwa hali na mali ili tu niweze kufika Mbali zaidi..toka kwenye "Upenzi" hadi leo kwenye "Cousins" mixer "Ushemlake" ni mbali sana nimetoka nae...narudia tena kusema nina BOOooonge la furaha na kila sababu ya kumwambia "Happy birthday Sepetu wa sepetunga" wish you all the best mama.....Maisha marefu yenye amani na Mafanikio tele..........wote tuseme Aaaamen!Hicho ndicho alichokiandika bwana Diamond platinum katika site yake.
HAPPY BIRTHDAY TO WEMA SEPETU!!!!!!!!!!!

0 comments: