RIHANNA KUTOA NEW SONG.. DIAMONDS SEPTEMBER 26

0

RIHANNA AKIHOJIWA MAMBO KADHA WAKADHA!!!


 
Siku chache baada ya kutokea kwa tetesi kuwa mwanadadiva yuko mbioni kuachia album yake ya saba, mwenyewe ameamua kuthibitisha katika interview alioifanya na Elvis Duran wa iHeartRadio kuwa ataachia single ya kwanza ya album hiyo inayoitwa Diamonds siku ya jumatano ya tarehe 26 september yaani wiki ijayo,inayobeba jina la album ambayo itatoka soon.

0 comments: