KALABANI NA LAMAR WAHUSIKA KAMA MADIRECTOR KATIKA VIDEO MPYA YA LADY J DEE

0

Ni moja kati ya ma producer wa kali kwa hapa bongo kwa ufupi  anafanya vizuri sana katika industries ya muziki hapa bongo anafahamika kwa jina la Lamar kutoka katika studio ya Fishcrab Audio Station.Habari nzuri ni kwamba Lamar baada ya kuona kwamba yeye katika upande wa muziki anaweza ku produce vizuri sasa pia ameamua kuingia katika mambo ya video production.Hapo chini sasa Lamar ameonyesha wazi kwamba yeye sio tu muziki bali pia hata katika mambo ya video production anaweza na hapo chini yeye pamoja na kalabani walikuwa katika uandaji wa video mpya ya Lady J dee ambayo ni moja  kati ya pini zake kali zinazofanya vizuri sana inajulikana kwa jina la Yeye.

0 comments: