INAWAHUSU SANA WANA NDOA ILA KARIBU UANGILIE KWA FAIDA YA BAADAE!!!!!

0
THIS IS FOR WANA NDOA, MAZOEA KATIKA NDOA YANAUA MAPENZI, WAJIBIKA IPASAVYO KATIKA NAFASI YAKO, KUNA MALALAMIKO MENGI SANA KATIKA NDOA ZA WATU, NA INASIKITISHA KUONA KUNAKUWA HAKUNA MAELEWANO KATI YA WANANDOA INABAKI WANAISHI KWA MAZOEA  NA KUSEMA VITU KAMA AAH! TUNALEA WATOTO TU SASA!!!!

ULE UPENDO WA SIKU YA KWANZA MLIYO ONANA UMEENDA WAPI?
NI NINI KIMETOKEA!!? DON'T TAKE EACH OTHERS FOR GRANTED.
 ANGALIA VIDEO YANGU HAPO CHINI NIKIONGELEA SUALA ZIMA LA KUACHA MAZOEA  KATIKA NDOA!!!!!!!





0 comments: