MUNGU AKIKUBARIKI ANAKUBARIKI HASWAAA, KUNUNUA NA KUMILIKI VITU KAMA NDEGE NI KITU KIDOGO SANA, ANGALIA MUHUBIRI WA INJILI YA MUNGU ALIVYO BARIKIWA, ANAMILIKI HIYO NDEGE HAPO.

0

Askofu Oyedepo.
Hii ni ya kwanza.
.
Gulfstream G550
Gulfstream G550.
Gulfstream V
Gulfstream V
LearJet 
LearJet.
Daily Post wameripoti kwamba ndege zinazomilikiwa na watu binafsi zimeongezeka nchini Nigeria ambapo mwaka 2007 zilikua ndege 20 lakini mwaka huu 2012 ziko zaidi ya 150 ambapo kwa sasa Nigeria na China ndio nchi ambazo ni miongoni mwa zinazokuja kwa kasi kwenye ununuzi wa ndege binafsi duniani.
Hiyo list hapo chini ni list ya matajiri kumi wa Nigeria wanaomiliki ndege binafsi ambapo Muhubiri ambae ni askofu Oyedepo ndio ameongoza kwa kuwa na umiliki wa ndege nne japo mbili ameshea na rafiki zake.
Oyedepo ndio mwanzilishi wa Living Faith Christian Church International maarufu kama Winners’ Chapel ambalo hata Tanzania lipo pia.
.
.
List ya wamiliki wengine matajiri 10 wa ndege binafsi Nigeria ndio hii hapa chini.

0 comments: