First Lady Michelle Obama Alisimama Kwa Ushujaa Kwa Ajili Ya Mume Wake.

0

First Lady Michelle Obama
Wearing Tracy Reese, the First Lady wowed audiences onstage during day one of the Democratic National Convention at Time Warner Cable Arena on September 4, 2012 in Charlotte, North Carolina.
Inapendeza kuona kuna wanawake mashupavu na wenye kujiamini ambao wanaweza kusimama mbele za kadamnasi ya watu na kusema kuwa anampenda mumewe, akiendelea kusema, Michelle alisema kuwa mumewe na baba ya watoto  wake ambaye ni Rais wa Marekani kuwa ni mtu wa upendo kwa watu wote na wala hana ubaguzi.
Mmh! Nina matumaini yakuwa Rais Obama lazima atakuwa anamfurahisha sana mkewe nyumbani kwa kila hali na mali.
KWENYE NDOA KUNA MENGI, WAUME CHUKUENI NOTES, AU KAENI MJIULIZE JE! HIVI MKE WANGU ANAWEZA KUSIMAMA MBELE YA WATU AKANIZUNGUMZIA NAMNA HIYO?? 
OKAY, NIMETOA YANGU YA MOYONI!!!!!!!!!!!!!!!!

0 comments: