MWANAMKE AKUTWA AKIWANGA!!!!! DAH!!!!
0
HAYA MAMBO YAPO JAMANI DUH!!!!!!
HUYO MDADA HAPO KWENYE PICHA INASEMEKAMA KAKUTWA ANAWANGA
MITAA YA KATI HUKO MBEYA, SASA INASEMEKANA
ALIPOKUTANA NA MAGWIJI WENZIE HUKO MITAA YA KATI JIJINI
MBEYA, AKAISHIWA NGUVU ZA KUPAA AKIWA NA BIRTHDAY SUTI
YAKE MWENYEWE.
IKAFIKA ASUBUHI WATU WAKAMKUTA, BASI WACHA MPE MKON'GOTO
WAHAJA, AKIWA NA BIRTHDAY SUTI YAKE MAPOLISI WAKA-
MUOKOA KUTOKA KWENYE MIKONO YA RAIA WENYE MIHASIRA YAO,
AKAPELEKWA MAHABUSU AKISUBIRIWA KUJITAMBULISHA MAANA
HATA MANENO YALIKUWA HAYAMTOKI BAADA YA MKONG'OTO NA
KUISHIWA NGUVU ZA KIUCHAWI.
DUH!!!!!!!!!